RAIS DK.MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zake ili kujenga uchumi imara kwa Taifa. Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo huko katika ukumbi wa Hoteli ya